Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
mchumba huna imani eeh ongeza maombi๐We umeshashindikana
Mhhhhhhh sio vizuri bhuana wakanye kwanza,, kwani ni kina nani?Mkuu Active Kuna watu wanaenda kinyume na mjadala hapa wanaweka vitu ambavyo havistahili kukaa hapa njoo uwone wanachafua Uzi
Wanaonekana hapa wanaweka vitu vya ajabu ajabu kwenye uziMhhhhhhh sio vizuri bhuana wakanye kwanza,, kwani ni kina nani?
Umefeli wapi kijana ๐๐Unabahati sana hahaha.
Nilikuwa mita chache sana leo na eneo la tukio hilo
Wazee huwa hawaruhusu kuonjana kabla ya Ndoa ๐๐๐๐๐๐sasa vinahusianaje kwani mnakua hamafanya testing kabla ya ndoa
๐๐๐๐๐kwisha habariWazee huwa hawaruhusu kuonjana kabla ya Ndoa ๐
Mambo ya kuuziwa Mbuzi kwenye gunia hayo ๐Kama unaona vipi usiolewe!
View attachment 3035612
Hahahaha............Kuna mtu huko ameambiwa asubiri hadi wafunge Ndoa, wakati huo huo kuna Mwamba anaalikwa Kila Siku aende aka-perform kwenye huo uwanja ๐๐๐๐๐๐kwisha habari
binafsi siwezi kusubiri mpaka ndoa aiseeHahahaha............Kuna mtu huko ameambiwa asubiri hadi wafunge Ndoa, wakati huo huo kuna Mwamba anaalikwa Kila Siku aende aka-perform kwenye huo uwanja ๐
Hapo safibinafsi siwezi kusubiri mpaka ndoa aisee
Babu una mikasa mingi ntakuja unisimulie ๐น๐น๐นUsinikumbushe machungu Mjukuu, Mwaka 47 nilipokea pension yangu ya mkupuo.
Kabla ya kuipokea nilisema ningeenda kununua Kiwanja Masaki nijenge.
Baada ya kuipokea, yote iliishia kuwapangia apartments nyumba ndogo pamoja na kwenda kula nao maisha South Africa ๐
Msione natembelea naongea peke yangu njiani, hili tatizo limeanzia mbali Mjukuu ๐ ๐
Babu huyo bibi hapana hauendani naye coca mchokozi ๐น๐น๐นSijawahi kuchagua Pisi mbaya Mjukuu, ndiyo maana hata Bibi yenu ni Pisikali ๐ค
Huoni hata Wajukuu zangu wote ni PisiKali, ndiyo maana mahari zinazoletwa kwaajili yao sio Chini ya Milioni 5๐๐
Kutumia id mpya uje kupambana ni uogaUpo Lamomy naona sasa unatumia ID hii baada ile ya kujifanya pisi kali wajuba kuishutukia.
Tumia akili dogoWizo wako Lamomy katika moja na mbili akimseti 100 others
Siwezi kusimulia hadi niwe nimevuta Kiko yangu, kwahiyo jitahidi uniletee.Babu una mikasa mingi ntakuja unisimulie ๐น๐น๐น