Selfika na JF: Snap it. Show it

Pesa mbuzi hizo kweli ww wa kuja 🀣🀣🀣
Kwahiyo umekubali kuvuliwa ubingwa kwa pesa mbuzi?
Hizo ni za kunywea pombe....
Hizo USD nilimtumia demu wangu...

We masikini usinipotezee time...
 
Hizo mboga hazichoshi Nkamu

Ila hujanionea shangazi??
Hivi hamkuwa naye humu?

Tumemiss maphoto makareee ya Tecno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ile iphone 14 Pro Max hivi mlishampa shangazi?
Ahadi ni deni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…