Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Jun 22, 2024 #386,821 kikiboxer said: vizuri sana. Mimi nipo on and off haipiti week sipo humu. ni vile wakati mwingine nasoma tu sipost chochote. Kuna uzi ule wa Abdul nilikuuliza ufunguke ukanikimbia 😂 usifanye hivo bwana mtoto mzuri Click to expand... Ooh vizuri, ningefunguka zaidi Sameer angenijua. Sikutaka iwe hivyo, ila kuna mtu aliniquote akaelezea pia.
kikiboxer said: vizuri sana. Mimi nipo on and off haipiti week sipo humu. ni vile wakati mwingine nasoma tu sipost chochote. Kuna uzi ule wa Abdul nilikuuliza ufunguke ukanikimbia 😂 usifanye hivo bwana mtoto mzuri Click to expand... Ooh vizuri, ningefunguka zaidi Sameer angenijua. Sikutaka iwe hivyo, ila kuna mtu aliniquote akaelezea pia.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jun 22, 2024 #386,822 Lamomy said: Hapo kwenye Nguniani na matakapera napumzika, lini sasa nkamu nifate?? Ulete nimpikie shemeji yako hazijui kwao wamezoea milungi na mijani Click to expand... Nakuletea Nkamu wiki inayoanza j3 Umuwekee na kipome😂😂😂
Lamomy said: Hapo kwenye Nguniani na matakapera napumzika, lini sasa nkamu nifate?? Ulete nimpikie shemeji yako hazijui kwao wamezoea milungi na mijani Click to expand... Nakuletea Nkamu wiki inayoanza j3 Umuwekee na kipome😂😂😂
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,823 100 others said: Nyie acheni ktuchezea akili, shenz taipu, kalaleni Click to expand... Umerudi na leo tena?
100 others said: Nyie acheni ktuchezea akili, shenz taipu, kalaleni Click to expand... Umerudi na leo tena?
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,824 Lamomy said: Countrywide 😂😂😂😂 Click to expand... Huyu amalizane na coca kwanza, na ataje wenzie walipo.
Lamomy said: Countrywide 😂😂😂😂 Click to expand... Huyu amalizane na coca kwanza, na ataje wenzie walipo.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,079 Jun 22, 2024 #386,825 Saint Anne said: Nakuletea Nkamu wiki inayoanza j3 Umuwekee na kipome😂😂😂 Click to expand... Kipome muhimu ntaungia nini sasa?? Na cake nataka uniandalie. 😂😂😂😂 ila nkamu unayaweza, sema basi nakuelewa sana
Saint Anne said: Nakuletea Nkamu wiki inayoanza j3 Umuwekee na kipome😂😂😂 Click to expand... Kipome muhimu ntaungia nini sasa?? Na cake nataka uniandalie. 😂😂😂😂 ila nkamu unayaweza, sema basi nakuelewa sana
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,985 Jun 22, 2024 #386,826 Countrywide said: Kabla sijakujibu, hili umeaddress kwa wengine au na kwangu pia? Click to expand... Mwingine yupi wakati we ni mtu mmoja.
Countrywide said: Kabla sijakujibu, hili umeaddress kwa wengine au na kwangu pia? Click to expand... Mwingine yupi wakati we ni mtu mmoja.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,827 Saint Anne said: Si unaona hakuna anayetaka kuonekana ameshindwa , Wewe mpotezee tu usimjibu. Nadhani hii ni njia nzuri ya kumaliza haya mabishano. Click to expand... Sawa dada, ngoja nirudishe silaha ghalani. Kesho nayo siku
Saint Anne said: Si unaona hakuna anayetaka kuonekana ameshindwa , Wewe mpotezee tu usimjibu. Nadhani hii ni njia nzuri ya kumaliza haya mabishano. Click to expand... Sawa dada, ngoja nirudishe silaha ghalani. Kesho nayo siku
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,828 100 others said: Mwingine yupi wakati we ni mtu mmoja. Click to expand... Sawa, lingine lipi?
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,079 Jun 22, 2024 #386,829 100 others said: Nyie acheni ktuchezea akili, shenz taipu, kalaleni Click to expand... 😂😂😂😂 mlitulia mnasubiri clip, mkaona haziji mnatufukuza sasa??
100 others said: Nyie acheni ktuchezea akili, shenz taipu, kalaleni Click to expand... 😂😂😂😂 mlitulia mnasubiri clip, mkaona haziji mnatufukuza sasa??
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,985 Jun 22, 2024 #386,830 Countrywide said: Huyu amalizane na coca kwanza, na ataje wenzie walipo. Click to expand... Acheni kutuigizia... ushamba tu.
Countrywide said: Huyu amalizane na coca kwanza, na ataje wenzie walipo. Click to expand... Acheni kutuigizia... ushamba tu.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,079 Jun 22, 2024 #386,831 Countrywide said: Huyu amalizane na coca kwanza, na ataje wenzie walipo. Click to expand... Wataje wewe kwani huwajui?
Countrywide said: Huyu amalizane na coca kwanza, na ataje wenzie walipo. Click to expand... Wataje wewe kwani huwajui?
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,832 Lamomy said: Unajifariji huna lolote Click to expand... Huwa napenda ugomvi kuliko chakula, kwa hiyo huwa kila siku najifunza mbinu mpya za kupambana
Lamomy said: Unajifariji huna lolote Click to expand... Huwa napenda ugomvi kuliko chakula, kwa hiyo huwa kila siku najifunza mbinu mpya za kupambana
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,833 100 others said: Acheni kutuigizia... ushamba tu. Click to expand... Sawa kiongozi, lingine lipi?
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,079 Jun 22, 2024 #386,834 Countrywide said: Sawa dada, ngoja nirudishe silaha ghalani. Kesho nayo siku Click to expand... Acha sifa, silaha huna. Na kwanza kwann unabishana na mwanamke?
Countrywide said: Sawa dada, ngoja nirudishe silaha ghalani. Kesho nayo siku Click to expand... Acha sifa, silaha huna. Na kwanza kwann unabishana na mwanamke?
THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,548 Reaction score 7,516 Jun 22, 2024 #386,835 Hahahahaha kumbe mpo huku chimbo
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,985 Jun 22, 2024 #386,836 Lamomy said: Wataje wewe kwani huwajui? Click to expand... Nyie hamuwezi kunipata, kama mnatunga story hazina kichwa wala miguu mkifikiri nitachukia kwa sababu nachukia LGBT hapo mmefeli, unafeli biiig time.
Lamomy said: Wataje wewe kwani huwajui? Click to expand... Nyie hamuwezi kunipata, kama mnatunga story hazina kichwa wala miguu mkifikiri nitachukia kwa sababu nachukia LGBT hapo mmefeli, unafeli biiig time.
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,837 Lamomy said: Wataje wewe kwani huwajui? Click to expand... Ngoja nimalizie mjani, nitarudi na nguvu zaidi
Lamomy said: Wataje wewe kwani huwajui? Click to expand... Ngoja nimalizie mjani, nitarudi na nguvu zaidi
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,079 Jun 22, 2024 #386,838 Countrywide said: Huwa napenda ugomvi kuliko chakula, kwa hiyo huwa kila siku najifunza mbinu mpya za kupambana Click to expand... Hunizidi mimi, si mpk kuna muda ulikuwa unanikataza unakumbuka?
Countrywide said: Huwa napenda ugomvi kuliko chakula, kwa hiyo huwa kila siku najifunza mbinu mpya za kupambana Click to expand... Hunizidi mimi, si mpk kuna muda ulikuwa unanikataza unakumbuka?
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,079 Jun 22, 2024 #386,839 100 others said: Nyie hamuwezi kunipata, kama mnatunga story hazina kichwa wala miguu mkifikiri nitachukia kwa sababu nachukia LGBT hapo mmefeli, unafeli biiig time. Click to expand... Wewe nawe tulia, wenzio wako wapi?
100 others said: Nyie hamuwezi kunipata, kama mnatunga story hazina kichwa wala miguu mkifikiri nitachukia kwa sababu nachukia LGBT hapo mmefeli, unafeli biiig time. Click to expand... Wewe nawe tulia, wenzio wako wapi?
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Jun 22, 2024 #386,840 Lamomy said: Acha sifa, silaha huna. Na kwanza kwann unabishana na mwanamke? Click to expand... Vita haina macho, yoyote anayebeba silaha kuingia front unapigana nae
Lamomy said: Acha sifa, silaha huna. Na kwanza kwann unabishana na mwanamke? Click to expand... Vita haina macho, yoyote anayebeba silaha kuingia front unapigana nae