Hizo msg za muda kitambo hiko tena ilikuwa ni kesi ya miwivu yako mimi kubebishana na watu jf π€£π€£π€£π€£
Hizo zitunze, mimi zako zile konki sitaki kuweka hapa, huku hakuna kiki tunajichosha. Raha ya ubuyu wa mtu km wewe usomwe na taifa zima. Yani huku ukija nyuzi zipishane kufunguliwa kutuhusu sisi. Nataka tutrend jf nzima na nchi kwa ujumla