Selfika na JF: Snap it. Show it

Magari gani tena dada? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile avatar sio mimi, mimi ni kabaya mpk camera zinagoma kupiga [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupuuuu
 
Unalala sana mpk tumechelewa kumjoin Jack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmemaliza ugomvi na ba tamu, basi umeikeshea mwenyewe
Umejuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuuu, unaambiwa kunaa jamaa anataka kunioaa na nimzalie watoto wazurii,
Wee huogopiii? Had nakemea hii nyotaa ipunguee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu!! Ila JF ina njegekaa.

Kuna siku nilipost picha niko nje Library pale UD, sasa lekcharaaa akasema nae yuko maeneo hayo hayo.

Waja wasisebenzue eti tulikutana na kashi kashi za kushatoooo. Kila nikikumbukaa nachekaa had baas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…