aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,583
mwanaume kujipiga picha niushambaSelfikaaaaa! Acha maneno weka picha yakoooππ€Έ
Mbona siku ile uliweka? Weka ya siku ile uliyovaa kibegi una umbo la kukauka nilikufananisha na Barnaba ila yeye ana misulimwanaume kujipiga picha niushamba
hii ID haijawahi kupost picha kibonge acha mawengeMbona siku ile uliweka? Weka ya siku ile uliyovaa kibegi una umbo la kukauka nilikufananisha na Barnaba ila yeye ana misuli
Sawa umeshindahii ID haijawahi kupost picha kibonge acha mawenge
Nikikisema utamsumbua sana kaka πππgani iko ebu nisanueπ€£π€£π€£
πππ ndioBinamu wanatoa free mtelezo?
acha uchoyo nambie bwan πNikikisema utamsumbua sana kaka πππ
kilasiku Mimi nimshindi mySawa umeshinda
Mbn binamu zangu hawaniblessigi afu wazuri kweliπππ ndio
Anakutaka sana anajifanya kuleta mapozi tyuu ππππHanitaki huyo.....acha nahangaike na zle sajili za namba E plus container jipya linaenda kumwaga mtaaani kutoka chuo
Hujakaza tyuu!!Mbn binamu zangu hawaniblessigi afu wazuri kweli
πππ nishawishiacha uchoyo nambie bwan π
Mods awatako uselfiko iyoooπ€£π€£π€£Moderators
Naomba mnijie kwa nywilaaa, picha zisizo za maadili ni zipii? Na zinakiuka kanuni ya JF kwa lipii? Mnichokozee taratibuu.
Mnataka nisi selfike? Mbna wengine wana selfikaaa, em mniacheee mie,
Natuma tena zaidi ya hizi, maana uhuru ni wangu ku selfika km uzi unavyotakaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wiii mbeengo zitafungukaaa....na hili komweeπ€£Mamy K wifi punguza kucheka njoo uselfike hapa toto la kimakonde ππ
heh wew π€£π€£πππ nishawishi
Kaone kwanza, wee tutakuchamba uzimie na hivyo vichambo vyako vipya π π π πBantu Lady na Lamomy njoen mnichokoze basi,,nna vichambo vipya vinanchanganya apa
siwezi zimia,,mimi hupenda kujifunza mambo mapya ππKaone kwanza, wee tutakuchamba uzimie na hivyo vichambo vyako vipya π π π π
Ww selfika hapa atakayekuchamba tunaruka naye π€£π€£π€£Wiii mbeengo zitafungukaaa....na hili komweeπ€£
SawaHope urassa selfika ποΈ tajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Nishawishi πheh wew π€£π€£