Wee hauko serious, ndo maana hata ulicheka kwenye comments ya picha.Hivi unaanzaje kumwambia mwenzako ni simtank?
Unadhani najisikiaje baada ya kusoma huu ujumbe wako? Nikijinyonga je?
Hebu wasebenzue kwanza πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nishavurugwaa hapa, sasa wajichanganyee niwasebenzuee.
Jamaniiii nyie hamko serious wallah.Huyu amesema ukweli yupo kama wale sumo tena hapo kawahurumia sana ,namjua vizuri mno.
Ndio yenyewe hayo π₯π₯π₯ bila kusahau gadem double chin πNajiamini! Nimesema una dhambi sabbau umeniambia le mutindizi wakati hayo yangu sio makubwa ni wastani saa 6 iliyochangamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu wasebenzue kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani Mkuu, ila useme nimeweza kuitunza miaka mingi maana nakumbuka nilinunua Mwaka 47 shilingi 65 miaka ile π€Hizo saa makini mno , wewe ni mtu makini.
Niseme ili iweje mimi si mmbea.Sumo ndio nini?
Kumbe unanijua na husemiiiπ
Mimi nipo serious siwezi kutia unyonge wakati nina umbo langu Mungu kanipa! Nina kila kitu kilichotimia nitie unyonge kwani mimi ni kipofu au kiwete!?Wee hauko serious, ndo maana hata ulicheka kwenye comments ya picha.
Nweiiii nisameheee buree dear, [emoji120][emoji120][emoji120]
Nimekoma sirudiii tenaaa,!!! Nisamehe kweliii.
ππππ babu elezea puliiizz, una kitu weweeUsitake kufanya nipewe talaka ya Uzeeni na Bibi yenu, Mimi mwenyewe nilisoma kwenye Geography tu kuhusu hicho Kilimo Mjukuu π€
Ila babu kwa huo mkono wako kwa ishu ya wewe ni babu huwa unatupigaπππShukrani Mkuu, ila useme nimeweza kuitunza miaka mingi maana nakumbuka nilinunua Mwaka 47 shilingi 65 miaka ile π€
Sumo ndio niniNiseme ili iweje mimi si mmbea.
[emoji482][emoji482][emoji482] dear!!! Ila hapo unaonekana km mkubwa kumbe mtoto.Mimi nipo serious siwezi kutia unyonge wakati nina umbo langu Mungu kanipa! Nina kila kitu kilichotimia nitie unyonge kwani mimi ni kipofu au kiwete!?
Ukubwa ni akili imani majukumu jinsi unavyojichukulia na sio umbo![emoji482][emoji482][emoji482] dear!!! Ila hapo unaonekana km mkubwa kumbe mtoto.
Sema hongera kwa kupewa mwili wa ki boss, ubarikiwe.
Ni aina ya michezo huko japani ya mapigano.Sumo ndio nini
Mkuu mara nyingi humu huwa naweka picha ya miaka ya 47 enzi hizo nikiwa Kijana KijanaIla babu kwa huo mkono wako kwa ishu ya wewe ni babu huwa unatupigaπππ
Mimi sina elimu hiyo ya sumo ila karate sawa cz nilijifunza jktNi aina ya michezo huko japani ya mapigano.View attachment 3020208 wapiganaji wao wapo hivyo.
ππππ sawa babu.Mkuu mara nyingi humu huwa naweka picha ya miaka ya 47 enzi hizo nikiwa Kijana Kijana
Hata hiyo nilipiga Mwaka 47 miaka 2 baada ya azimio la Arusha π€
Kuweni na imani na Wazee π
Hamna kitu mule wewe jichanganye uoneπ€£π€£π€£Mimi sina elimu hiyo ya sumo ila karate sawa cz nilijifunza jkt
Usifanye nimlaani Mwalimu wangu wa darasa la 6 aliyetufundisha kwamba eti Kilimo cha umwagiliaji kipo huko BKππππ babu elezea puliiizz, una kitu wewee
Ndiomana kina bibi humu wanagongana vipepsi kumbe kilimo cha umwagiliaji kingi π€£
Mimi sio mgomvi hivyo siwezi kujichanganyaHamna kitu mule wewe jichanganye uoneπ€£π€£π€£