Kusema kweli natakiwa nipunguze Wivu tu kwenye huu Umri wa Uzee maana vinginevyo Presha itaniua Babu yenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu nimechekaaa sanaaa
Sema sio kwa kila mtu, yakiwashika pabaya ndio hukimbilia huku😄Em sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvuvi haramu ktk ziwa Victoria, babuuu utakufa vipira vimepwaya km tyre limepata panchaaa.Kusema kweli natakiwa nipunguze Wivu tu kwenye huu Umri wa Uzee maana vinginevyo Presha itaniua Babu yenu.
Mwaka 47 wakati Nchi ikiwa haina Maji ya uhakika, Bibi yenu alidamka saa 10 alfajiri kwenda kufata Maji korongoni huku Mimi nikiwa nimelala.
Kusema kweli nilijua wamemwiba live live, anakuja kurudi saa 3 asubuhi na ndoo ya Maji kichwani [emoji119]
Ingekuwa ndiyo Vijana wa miaka hii mbona wangekuwa wamegawana majengo ya Serikali [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchumbaa wee muongo,Sema sio kwa kila mtu, yakiwashika pabaya ndio hukimbilia huku[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiiiiOyooooooo.!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekucha kumekucha 😂😂😂Moderators
Naomba mnijie kwa nywilaaa, picha zisizo za maadili ni zipii? Na zinakiuka kanuni ya JF kwa lipii? Mnichokozee taratibuu.
Mnataka nisi selfike? Mbna wengine wana selfikaaa, em mniacheee mie,
Natuma tena zaidi ya hizi, maana uhuru ni wangu ku selfika km uzi unavyotakaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona na makucha yakee uduguuuu, khaaaaahKumekucha kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli bora tumezeeka sasa 🤗 😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvuvi haramu ktk ziwa Victoria, babuuu utakufa vipira vimepwaya km tyre limepata panchaaa.
Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui nachekaa nn hataaa,Kwa kweli bora tumezeeka sasa [emoji847] [emoji12]
😂😂😂 mshatibuana na mods tyr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiiii
Usikute tayari umeshanogewa na Kilimo cha umwagiliaji huko Bukoba, ngoja nimsanue Mkwe ajue anaibiwa na Mhaya 😜😂😂😂😂 We muache ntaibiwa kwa wahaya abaki analia
Hiyo tabia ya kulewa Mjukuu wakati unajua una Siri zetu sio nzuri ujue 😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui nachekaa nn hataaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena waniachee, Leo niko vibaya kabisaa.[emoji23][emoji23][emoji23] mshatibuana na mods tyr
Kwa kweli, Ulinzi muhimu uimarishweAlindwe watamuiba 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanzaa babuuu em ntumie ya kulewea, c unajua mkweo boss kaniachaaa??Hiyo tabia ya kulewa Mjukuu wakati unajua una Siri zetu sio nzuri ujue [emoji12]
Basi! Nitabaki na kitambi changuLazima ihusishe diet, huwezi kwepa