Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Huwa nina kawaida moja simgusi nisiyemjua. Hivyo naomba niheshimu hiki ulichoandika hapaWe nawe acha upuuzi wako. Nendeni PM huko mtasababisha uzi ufungwe kwa ajili ya ujinga wenu. Mnatuboa wengine na kutuhusisha kwa mambo yasiyotuhusu. Tumekula biriani tunataka tuweke picha tukiwa na furaha ya sikukuu ya idd alafu nyie mnaleta masuala yenu ya kifala humu.
Mzee wa Picha za ku download...Dogo naona umetafuta angle ya picha kujifariji mm na picha wapi na wapi
Ww jikubali ulivyo, wenzio wanajikubali ndio maana wana amani.
Bado hujajibu wale wenzio wapo wapi?
Nashukuru, acheni hayo mambo bro. Leo ni siku ya furaha wakuu. Hakna umuhimu wa kugombana. Nakutakia idd njema.Huwa nina kawaida moja simgusi nisiyemjua. Hivyo naomba niheshimu hiki ulichoandika hapa
Potezea basi shehe wangu. Unahamishia hasira za HAMAS kwa jamaa nini? Yaishe basi.Mzee wa Picha za ku download...
Kagoma kajikubali halafu anaonea wivu wenzie, kakomaa na picha picha. Tukimwambia zilete anajichekesha chekeshaDogo naona umetafuta angle ya picha kujifariji mm na picha wapi na wapi
Ww jikubali ulivyo, wenzio wanajikubali ndio maana wana amani.
Bado hujajibu wale wenzio wapo wapi?
Mkakati wetumi na mdogo wako Tayana-wog wa kukutunza kama shukrani upo palepaleUsijali shem lake
Kijana wa coca, kwa bahati mbaya soko likawa gumu.Mzee wa Picha za ku download...
We mla mjani ππππ, achaneni na hizi mambo. Maisha mengine yaendelee basi mkuu.Kagoma kajikubali halafu anaonea wivu wenzie, kakomaa na picha picha. Tukimwambia zilete anajichekesha chekesha
Zile changamsha kijiwe tu, mi na mjani wapi na wapi?? πππKumbe unakula mjani bwanaπππππNilikuwa nakukubali sana wewe. Kidogo tu, nikuvute uwe jiko langu. Ebu achaneni na hizi mada sister.
Swa mkuu nimekuelewa, naacha ugomvi...Potezea basi shehe wangu. Unahamishia hasira za HAMAS kwa jamaa nini? Yaishe basi.
Haina shida sister, basi naendelea kukukubali. Tuendelee na sherehe yetu ya Idd.Zile changamsha kijiwe tu, mi na mjani wapi na wapi?? πππ
Tumeacha amani itawale
Hilo muhimu lazima nitunzwe mama mzaa chema ππππMkakati wetumi na mdogo wako Tayana-wog wa kukutunza kama shukrani upo palepale
Wala mjani tuna kitu ohhh πππ jokes bana situmii ndumu mimiWe mla mjani ππππ, achaneni na hizi mambo. Maisha mengine yaendelee basi mkuu.
ππππHilo muhimu lazima nitunzwe mama mzaa chema ππππ
πππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈHahaaaaaa hata mi nimekutoa thamani kama unakula mpepeππππ
ππππ Shangazi wa Chanika bana ππππAkati ndo mshangazi wako wa mbagala huo hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana. Ham match, nimemkumbuka tuuMimi sio husna bana, kwan kuna vitu tunamatch??
Ww kunipiga mimi bado, wamenishindwa wenzio ww utaniweza?? We huogopi?? π€£π€£π€£Najua hii imekupiga sana , hakuna namna..
Kwahiyo imekuwaje sasa?? Mi nasubiri mjukuu mjue ππππππππ
Tulijitahidi sana July upate mjukuu