Lete zako halisi, halafu hiyo yako wewe hakuna sehemu tulijiita best couple jf, tumewavuruga eeh! Bado hamjavurugika vizuri π€£π€£π€£π€£Stupid....
Mnajitia best couple ya JF kumbe picha za kudownload..... π π π π π
Hawa si ndio unawaitaga "vidampa"?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mniachee nipumue, yaan ntakufa mwuli uko weya weya, waoshaji watapata tabuuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakosaje kwa mfano
ππππ huyo alikuwa anakuonea wivu ndiomana haishi kukutaja taja, afu hili babu migambuti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan imebidi nichekee tyuu, woiiiiiih
Ila watu jamaniiii, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumpindua coca hawezi, huyo ana nyota ya bundi
Nguvu hata ya kutongoza huko inatokea wapi ikiwa unajulikana kama ulishaleft?Siwezi tongoza mazni hapa public muambie manzi yako alete chats za PM, mi si mjinga Dogo...
Siwezi kuwa serius na picha za ku download..
And the good thing is... sidhani kama ni peke yangu nafahamu hio fake couple yenu na hizo drama zenu za ki ****...
Kasema angalia simu yako kashatuma, hapendi aibu ndogondogo πUsimtee mwambie atoe Hela nipike π
Ila country wee ni mchokoziii ujue? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua namkumbusha tu huyu dogo, maana kaja anajifanya kidume na kasahau huko zamani allifanya nn yeye na wenzake. Si qio huyu alibadili na ID baada ya kustukiwa?
Hunielezi chochote we masikini....Hujui sasa useme tena nn, naona ulijua tumesahau ulivyokua nyuma
Dogo soko lako gumu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiiii!!!Si shemeji yake lazima uhusike kwenye ugomvi wa familia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ ban hatupewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie kwani lazima mie nihusike kwenye kila ugomvii? Em mniachee bhanaa.
Mie sitaki Ban tenaa sahivi.
Hujui kuna delete chats? Unatumia jf ipi?Huwezi futa message za PM, huwezi... naema leta hizo PM messages watu waburudike hapa...
Mie cna mda kabisaa, niko buzzy na yangu nashangaa ndo mnanitaja tajaa.Some
We umekuja wa 3, nataka mfike 10...
Yani wewe unateseka na maisha ya watu, hivi hata muda wa kuoga unao?? Yan ww umuaibishe kantry abadili id?? We kweli kidampa msungoKuna siku moja hapa unajitia kum post manzi ako, eehhh, si ukatuma picha ya kudownload, nikaipimia halafu nikminya reli, silent, nimgetaka kukuaibisha hapa ingekuwa mtafutano....
Bro hebu achana na hizi issue, ntakuabisha hapa ubadili na ID...
Ulikua unajitia kumuita huyo coca aku support, amekukataaa....Nguvu hata ya kutongoza huko inatokea wapi ikiwa unajulikana kama ulishaleft?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa si ndio unawaitaga "vidampa"?
Haka kalifeli wapi? Maana hadi leo ana hasira sana na ww
Aisee kumbe mmeshafikia huko wana JF. Wanataka wakupige mtungo sio?Bado hujasema, naona mna mipango mingi sana. Kazi iendelee
Kwanini umekubali siku zote hizo kugeuzwa jalala??? Tena na mtu unayemuita hajielewi??
Kantry unanichosha una lingine, ukiacha mipango yenu ya mtungo na genge lako??
Leta chats hapa nakuruhusu ambazo nilikutongoza PM, naruhusu kabisa....Mie cna mda kabisaa, niko buzzy na yangu nashangaa ndo mnanitaja tajaa.
Wanao left wanatupatia taabu sana. πββοΈπββοΈππNguvu hata ya kutongoza huko inatokea wapi ikiwa unajulikana kama ulishaleft?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndo wee ulikua unapenda battle, sasa Leo kakuvaa wee mwenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo alikuwa anakuonea wivu ndiomana haishi kukutaja taja, afu hili babu migambuti