Babu mi napenda vitu vya kijinga km zawadi ujue πUsijali Mjukuu, kama Wazee tutajitahidi kutoa Elimu Kila Siku π
Usitake nikung'ate sikio kukwambia zawadi nilizokuandalia ila jua zipo nyingi kwaajili yakoπ€
Omba kwanza ruhusa kwa Mkwe wangu ndiyo uje nikung'ate sikio π€Babu mi napenda vitu vya kijinga km zawadi ujue π
Eβm ningβate sikio
Sina, nimeachika babu πππOmba kwanza ruhusa kwa Mkwe wangu ndiyo uje nikung'ate sikio π€
Si unajua tangu asubuhi nipo ndani peke yangu tangu Bibi yako aende shambani π
Mbona ghafla hivyo Mjukuu π€Sina, nimeachika babu πππ
Talaka tatu niko eda
π€£π€£π€£ Itabidi unitafutie kungwi anifundishe mafiga matatu ili nikiachika huku, nabaki na wa kule.!! πMbona ghafla hivyo Mjukuu π€
Na bahati mbaya hujawahi kufundishwa kuhusu mafiga matatu π
Njoo tu Kwa Babu yako nikufariji wakati tunasubiria Posa nyingine Kwa Kijana wa Mzee Sanga π
Vijana wa hall 5 hamfai
Ule Uzi siku hiZi simuoni kabisaa sijui upo wapi?? Au vijana wameacha kutafunana kimasikhara??Vijana wa hall 5 hamfai
Usije ukawa umemuamishia Bantu Lady kwenye uzi wenu wa kulana kimasihara kule
au mme hamia telegram kule kwa kina lindaUle Uzi siku hiZi simuoni kabisaa sijui upo wapi?? Au vijana wameacha kutafunana kimasikhara??
Here furruuuuuuuuu ,πππππmzee wa Hall V
Happy to see you again.Here furruuuuuuuuu ,πππππmzee wa Hall V
kwema????? Za kupotea??
Karibu sana asee nafurahi kukuona tena selfika
Msalimie Bantu Lady ukimuona.Weee kumbe! Safi sana mwanaume kupambana. Haha hapana chezea Ini ni noumaaa narobotatu!
Zimefikaaaaaaaa
Umekuwa njiwa siku hizi, mzee wa Hall 5 πππππ
Nakujaa chaapUhakika njoo tupige pesa
Sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unapenda hekaheka