Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado hujasema, naona mna mipango mingi sana. Kazi iendelee
Kwanini umekubali siku zote hizo kugeuzwa jalala??? Tena na mtu unayemuita hajielewi??
Kantry unanichosha una lingine, ukiacha mipango yenu ya mtungo na genge lako??
 
Umeona sasa, huku kujistukia kwako ndio uhovyo wako ulipo
 
Mtaani kijana akiwa mvuta bangi na msela na rafu rafu huwa haishangazi
Lakini binti akiwa mvuta bangi, msela na rafu rafu huwa inashangza
Naamini umenielewa
Sishangai vijana wa Arusha kuvuta bangi na kuwa rafu ni sehemu ya swaga zenu, hata unavyotetea kwa upande wako uko sahihi.!!
Ila kwetu sisi km jamii ya watu waliostaarabika lazima tushangae na hii ni kwa wote ke na me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…