Ww ndio maana nakuambiaga hujielewi, na haya mapovu yako na maneno yako ya ajabu ndio yamefanya nikuone mtu wa hovyo sana
Two weeks back ulinitolea povu hivi hivi na maneno mengi kweli kuwa najuana na lovelove mara najuana na antonnia, Mara nashirikiana nao maadui zako kukuhujumu kila ujinga uliandika. Hapo ndio niliona ww ni chenga sana
Leo tena umekuja na yaleyale. Unajistukia sana. Nilikuambia hii tabia yako nitaukomesha maana ulikua unanigeuza jalala