Selfika na JF: Snap it. Show it

Unanichosha tyuu!! Niko busy kuandaa uzi wa kumuonyesha hisia zangu Mh DC Nikki wa pili, sasa ww na hizo hekaheka zako km za pimbi unanipoteza..!! Labda km una maneno mazuri ya kunisaidia niongezee sawa karibu.
Btw nilitaka kusahau niliona kuna nyuzi ulianzisha za kumsifia una contact zake unisaidie?? Puliiiz dia ex nisaidiee basi πŸ™
 
Mm nakuonea huruma stage uliyofikia, lakini nitakusaidia kukuweka sawa. Nitakutoa hilo wenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…