Selfika na JF: Snap it. Show it

Kaka ulivyo na miguu imekomaa yenye vigimbi kama mcheza mpira huko mtaani wanafahamu we ni chakula cha watu?
Unajisikia ahueni sana ukiwa unajibizana na mie? Ile punch ya mwaka juzi haina come back na huwezi.


Unatafuta kiki ya kujulikana JF kupitia mie? Mbona huwa nakuinua sana, ila kwa leo walaa sina mood.

Tukutane next tymee!! Byeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…