Mimi sijawahi kujieleza kokote bβse sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. πππ
Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! π€£π€£π€£