Ww kutuma picha sio muhimu, kwanza unaweza kutuma picha sio yako ntajuaje?? Humu wengine wanaume ila wana id za wadada na wanatuma picha sio zao!! Ulimwengu wa fake ids unaanzaje kuwa real?? Hayo ni mambo ya watu wasiojielewa ndio hutuma picha zao halisi.!!ππππ