Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,152
- 55,173
Wala siteseki kwa ww kuchangamkaπ€£π sikujua kumbe kuchangamka kunawatesa,,ila huyo sio mimi
Km mimi tuko pamoja πLeo Germany ππΊ
Si ndo vzr watu wakichangamka jamaniApana sifahamiani nae ila ana uchangamfu flan hv...
Nani anatoa watuπ€£π€£π€£naonaga tu mnatishana sijui bannologyMimi nimeweka yangu ninayoijua na yy akuwekee yake anayoijua tatizo hakuna hapo?? π€£π€£π€£
Na yake nayo akuwekee. Ila tuachane nazo hizi mambo bana zitafanya tutolewe tena selfika
Weeeee embu tupia sasa mtoto mzuri βΊοΈKm mimi tuko pamoja π
ndo nilivo mkuuπ€£πnikishasense mazingira tu baasiii nalianzishaWala siteseki kwa ww kuchangamka
Ww kutuma picha sio muhimu, kwanza unaweza kutuma picha sio yako ntajuaje?? Humu wengine wanaume ila wana id za wadada na wanatuma picha sio zao!! Ulimwengu wa fake ids unaanzaje kuwa real?? Hayo ni mambo ya watu wasiojielewa ndio hutuma picha zao halisi.!!ππππapa sasa nimejua kwanin unalazmisha kutuma pichaπ€£π€£ππ unataka kunilinganisha na huyo sjui nani maskin mweeee ila poleni sana
Karibu sana selfika inataka watu kama wwndo nilivo mkuuπ€£πnikishasense mazingira tu baasiii nalianzisha
π€£π€£π€£π€£ππππ asante kwa ushaur na elimu ya jfWw kutuma picha sio muhimu, kwanza unaweza kutuma picha sio yako ntajuaje?? Humu wengine wanaume ila wana id za wadada na wanatuma picha sio zao!! Ulimwengu wa fake ids unaanzaje kuwa real?? Hayo ni mambo ya watu wasiojielewa ndio hutuma picha zao halisi.!!ππππ
Mods wakiona mnaanza hekaheka mnapewa ban, hafu mimi nimetawazwa balozi wa amani selfika, subirini nichukue mshahara wangu wa kwanza ndio mniletee hekaheka zenu πππNani anatoa watuπ€£π€£π€£naonaga tu mnatishana sijui bannology
imeisha io na hamtojutiaKaribu sana selfika inataka watu kama ww
Ntupie nini? πππWeeeee embu tupia sasa mtoto mzuri βΊοΈ
πΈπNtupie nini? πππ
Babe bado hujaondoka hapo?? ππ
Kaa kwa password mjini jf ohhh ππππ€£π€£π€£π€£ππππ asante kwa ushaur na elimu ya jf
Yako iko wapi?? πππΈπ
Unasema πYako iko wapi?? ππ
Hutaki kuja acha nienjoyπBabe bado hujaondoka hapo?? ππ
Halafu hao wa pembeni yako kuna makubaliano wanaingia ππππ€£
Yako iko wapi? πππUnasema π