aaah nataman nikupe siri ya mwili wangu ila nitakudanganya ππππππ sio kitambi na nyuma nimepigwa pasi hafu kibibi cha TANU
We huogopi??
Huyo jamaa ni mjanjaππππ Kwahiyo na wewe unaunga mkono hoja??
Wala, Ila ww ni mjanja. Huku jf Kuna mazwazwa mengi, wajanja wapo wachacheHapa ngoja nitulize komwe, huenda mmekaa sebuleni kimahaba mnabadilishana simu huku mnaangalia Scotland anavoteswa
Nipe wifi bana πππaaah nataman nikupe siri ya mwili wangu ila nitakudanganya ππ
Kwani nani mjinga?Huyo jamaa ni mjanja
Unabaki unazizungusha tuu πMhmm!! Huko sasa kujifariji πππ
Muulize raraa reree anavyoshinda anavigonganisha π pale pisi zinapogoma kwenda maghetoni
Wala usitulize komwe muombe picha akupe uthibitishe, mi sipo naye mbona..!!Hapa ngoja nitulize komwe, huenda mmekaa sebuleni kimahaba mnabadilishana simu huku mnaangalia Scotland anavoteswa
ππππ ila raraa unazingua ujue!!Unabaki unazizungusha tuu π
Aaaaaah ndio uhalisia huo πππππ ila raraa unazingua ujue!!
Ile siku nilicheka sana basi tu
wacha mimi nirare thathaNipe wifi bana πππ
Ila wanaume mnateseka sana halafu Mpaji Mungu anaona kuwa na mke sio vizuri πAaaaaah ndio uhalisia huo π
Mizinguo haikosekani hata uwe naeIla wanaume mnateseka sana halafu Mpaji Mungu anaona kuwa na mke sio vizuri π
Mimi naangalia mpira hapa, ukiisha nalalawacha mimi nirare thatha
Sio sana km huna kabisa bana πMizinguo haikosekani hata uwe nae
ajah urare sarama wiviiMimi naangalia mpira hapa, ukiisha nalala
Ina tegemea mtu na mtu πSio sana km huna kabisa bana π
Nipatie mdogo wakoπIla wanaume mnateseka sana halafu Mpaji Mungu anaona kuwa na mke sio vizuri π