Yaani wanakeraaaaaa. Mtu anabeba kama aliviweka vile. Mie bahati sikuwa na hela ndani. Nilizichukua asubuhi ili nikitoka kazini nipitie nikalipie kodi. Kurudi home ndio nakuta majanga