Selfika na JF: Snap it. Show it

sikuhitaji kuongea kwenye simu nilipo siiwezi kupokea simu. na Hakuna msg inaenda ya kawaida wala Whatsapp labda Kama umeachia sasa hivi
Alafu msg uliyonitumia nimekuelewa sana, now I rest my case, Ila uachage ujinga.
Good day
Mangi una hekaheka πŸ™ŒπŸ™Œ
WhatsApp yangu iko busy kuna vitu nafanyia marekebisho, na hizo msg za kawaida labda mtandao.
Hii tabia yako ya toka jana na leo sijaipenda kabisaa.!!
 
Mabonge mengi yana ujinga mwingi kichwani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
uuuuiiiiii be mhidza nde myako ndi hokopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
 
Mangi una hekaheka πŸ™ŒπŸ™Œ
WhatsApp yangu iko busy kuna vitu nafanyia marekebisho, na hizo msg za kawaida labda mtandao.
Hii tabia yako ya toka jana na leo sijaipenda kabisaa.!!
Uache uongo, ulikua umeblock msg zote hakuna zilizokua zinatoka
Ww hiyo tabia yako unaipenda?
Anyway ngoja nipotezee hili Ila acha kupiga mikwara ya namna ile kwa kutumia msg za kawaida itakuja kukugharimu, mm ni binadamu kesho inaweza kutokea nisiamke nikafa, ww ndio utawajibika. Usifanye Hilo kosa la kutoa vitisho kwenye msg
 

Attachments

  • Screenshot_20240614-215907_1.jpg
    68.6 KB · Views: 4
Usiku mwema wapendwa mrare unono πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄!

Nikapumzishe fuvu langu sasaπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ

Me likes
 
Super humbled u know πŸ™ πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mtandao bana, sijakublock beibeeyyy πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Mbona tukiwa tunaongea kwa muda mrefu voda wanatukatia umesahau??

Hasira bana huwezi kufa beibeeey wangu, ntabaki mjane ujue πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Mwah πŸ˜˜πŸ’‹
Njoo tubet Euro imeanza
 
Saiv aliyeoa ananizidi nn? Labda stress na kua na mtoto ila services zingn tunapata sawa tena yawezekana mi napata zaidi
Anakuzidi vingi, mwenzio yuko na familia yake wanafurahi na wakisikia baridi wanapeana joto. Ww mpk simu zako zipokelewe si utachina
 
uuuuiiiiii be mhidza nde myako ndi hokopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wohiii tutapigwa wifi
 
Uduguu km upo urusi 😍😍😍
Nouga sana, naomba raba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…