Selfika na JF: Snap it. Show it

Wifi mara hii?? Huyo mtoto sio wetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
shauri yako,,na kwel sio wenu,,ila wew shida ako ni unione sura sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚vip nkupe original au editing uridhike wewe
 
Toka lini? πŸ˜‚
Ww mmependezana na coca na hizi punch zenu mi nasikia burudani
Acha dharau, Huyo ni mwanaume, nashangaa sana nini kilimkuta..
Sasa nshakuambia nakukubali wewe... achana na coca, mi nakupenda wewe kwa hio unasemaje..
 
Acha dharau, Huyo ni mwanaume, nashangaa sana nini kilimkuta..
Sasa nshakuambia nakukubali wewe... achana na coca, mi nakupenda wewe kwa hio unasemaje..
Lete uthibitisho km yy mwanaume?
Unampendaje mtu usiyemjua?? Una uhakika gani km mimi ni yule unayemfikiria? Km mjomba yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lete uthibitisho km yy mwanaume?
Unampendaje mtu usiyemjua?? Una uhakika gani km mimi ni yule unayemfikiria? Km mjomba yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Achana na huyo shoga..
Mi nipo na wewe, nshakuambia nakuelewa, masuala ya kukufahamu na kutokukufahamu ni mbele kwa mbele, kwa hio unasemaje mrembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…