Jana tumelewa sana pombe tukachoma na mbuzi kula sana nyama. Cha ajabu tumeamka Leo asubuhi tumekuta yule mbuzi yupo hai ila mbwa Hamna, sijui kapotelea wapi View attachment 1280922
Mimi imenichukua zaidi ya miaka 10 hadi kuamua kuangalia na kuzimaliza.Nilikuwa naishia njiani siku zote. Ila this time huwezi amini nimeziangalia zote hii weekend iliyopita
Monster vipi???
Na My name Is....!
Hiyo alikusudia bibie si Alipitia Child abuse mama ake pia alikua ni mtu wa madawa ndio maana kajiita hvo. Wewe ukimuona yule jamaa psychologically unaona yupo normal??

Loh hapana japo zinapendwa na wengi ila sijawahi zipenda..
Hata mimi Marvels nilikua sijazielewa au kuziona zote.. ila nimeanza mwaka jana sasa nishakua Addicted