Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutu kuna mtu anasave picha za watu humu, halafu zinanangwa PM, hapana kwa kweli 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Weee.!! Kumekucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nani tena huyo anatuponda kina binti Sayuni??
 
Weee.!! Kumekucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nani tena huyo anatuponda kina binti Sayuni??
Nilijua mrembo wewe utaanza 😜😜😜 tulia usipigwe ban. Kaone hapo kanatamani umbea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nilijua mrembo wewe utaanza 😜😜😜 tulia usiigwe ban. Kaone hapo kanatamani umbea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nnavyopenda sasa hekaheka!!
Hapa nna arosto balaa, em nipe hiyo buana.
Kwanza anayetunanga yy yukoje??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nnavyopenda sasa hekaheka!!
Hapa nna arosto balaa, em nipe hiyo buana.
Kwanza anayetunanga yy yukoje??
Jamani jamani, Lamomy kipenzi. Mwenzako sijawahi pewa Ban mwaka wa 10 huu 🀣🀣🀣🀣🀣 miye najua wewe ndiyo unamjua hivyo tukuulize πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hatareee!! Hawakupi ban bana usijali.
Mi namjua??!! 🀣🀣🀣
Nani huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…