Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo ni nyie mnaobaki humu hamuuchangamshi huu uzi, unapoaa kabisaaa, had modes wanamic heka heka zetu wachachuaji.

Wanabakii kutuachia huruu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli ulipoaaaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uduguu wangu selfika basi, siku ile ulinidanganya
 
Ugonjwa gani huu
Upo kongo huu.
Unaambiwa kuna video moja nimeona jamaa kapata ugonjwa kama huu alafu sasa ugonjwa umekimbilia huku..... Pakuchu""

Oiiii so powa unaambiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…