Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika imepoa na kupoa kabissa, yaan haina amsha amsha tenaa.
Imebidi wachachuaji waachwe huru, ili kuuchangamsha uziii.

Hatariiiiiii tupuuuuu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipange tucheke wote [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16]
Kantriii alikuumbua hapa, ile siku kila nikikumbuka nacheka had machoziii,

Ulivyo povukwa sasa, mie ndo hoi mbavu cna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kantriii alikuumbua hapa, ile siku kila nikikumbuka nacheka had machoziii,

Ulivyo povukwa sasa, mie ndo hoi mbavu cna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Hata Mimi nilicheka sana πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…