Anaonekana hajaacha haha at least anatufanya tutanue mapafu kwa kicheko!
Karibu tena selfika dear usipotee bila kutubles walai! Wee comedian mchumbako Alayna kaja kukufuata hukuuπ£οΈπ£οΈπ
Tukuyu mnawahi sana Kulala usiku sijui kwanini, Kuna Siku nilikuwa natoka Matema beach, sasa bahati mbaya mafuta yameisha kwenye gari majira ya saa 12 Jioni, Kila kituo cha mafuta (Sheli) imefungwa
Nimekuja kupata mafuta kilomita chache kufika Uyole π