Selfika na JF: Snap it. Show it

Aliyesema Wazee hatuna wivu nani๐Ÿ˜…

Siku ukija kututembelea Likizo, nitakusimulia kisa Fulani na Bibi yenu Mwaka 1982, yaani bila kuchomwa zile sindano za kuniamsha mbona Presha ilitaka kuniua Kwa Wivu ๐Ÿ™Œ
Kwa umri wako better not involve in such kinda of things babu utakufa siku si zako!

Usiseme sijakushauri
 
Tupo hapa kijijini Kawetere
Tunashuti tamthiliya Kali ya Bunji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Karibu
Hongereni kutuletea movie Kali Mjini ๐Ÿค—

Hivi hakuna nafasi ya Mzee kuigiza? Nipeni hiyo nafasi tafadhali ๐Ÿค—

Kesho nitakuja kuwaunga Mkono Kwa kuwaletea walau Maji ya kunywa mkiwa hapo location ๐Ÿ˜œ
 
asantee madamโค๏ธ
 
Anaonekana hajaacha haha at least anatufanya tutanue mapafu kwa kicheko!
Karibu tena selfika dear usipotee bila kutubles walai!
Wee comedian mchumbako Alayna kaja kukufuata hukuu๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ˜Š
Ww ni mtu seriously sana ujue ๐Ÿค“๐Ÿค“
 
Hongereni kutuletea movie Kali Mjini ๐Ÿค—

Hivi hakuna nafasi ya Mzee kuigiza? Nipeni hiyo nafasi tafadhali ๐Ÿค—

Kesho nitakuja kuwaunga Mkono Kwa kuwaletea walau Maji ya kunywa mkiwa hapo location ๐Ÿ˜œ
Mwakemwake anatosha๐Ÿ˜‚
Karibu Tukuyu tuvune michaichai
 

Attachments

  • IMG_20240608_163227_970.jpg
    1.9 MB · Views: 8
  • IMG_20240608_165136_517.jpg
    1.5 MB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ