Selfika na JF: Snap it. Show it

Umewahi kusikia simu ya upepo?

Ilikuwa unapiga kisha unaacha ujumbe wa sauti 🤗🙌
 
Humu wazee tupo wachache sana hata kuandika tu ni tabu sasa kijana we unacontrol keyboard kama unapiga kinanda afu unataka tukae kingdom Moja na sisi tuliokuepo kipindi cha vita vya Uganda
Hahaha...........huenda nikawa Mzee Kwa umri kuliko wengi humu, useme kinachosaidia kuandika ni ile app ya kuongea then yenyewe ina-convert the spoken words into writings

Nimekula chumvi nyingi Mkuu 😅😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…