Selfika na JF: Snap it. Show it

Every Mom Is Nice Except Mine "Eminem"
Anasema hua usiku wa manane anajisomea Dictionary ili kuongeza misamiati kichwani.. hii imemfanya wimbo wake wa Rap God kuingia kwenye rekodi ya wimbo wenye maneno mengi yaliyotamkwa katika muda mchache 6Dk.
Nami namuiga jamaa eti..
 
Jana tumelewa sana pombe tukachoma na mbuzi kula sana nyama. Cha ajabu tumeamka Leo asubuhi tumekuta yule mbuzi yupo hai ila mbwa Hamna, sijui kapotelea wapi
Your browser is not able to display this video.
 
Aisee nimeipenda hii,, namkubali mno Eminem.. hasa huo wimbo wake wa rap god
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…