Asante saana.Tresor Mandala sumbai Leo mbona mmepotea sana mmewahi twilight glory??
Haya njooni muoshe macho na kazi ya designer kutoka Malaysia pic ziko mbili tu Moja inapatikana Dar es salaam,nyingine Kuala Lumpur 😁😁
Umekionaje??? MuoneKikanyagio kinaonekana kilainiiiiiii
UmeamkajeDo it mahi wangu😍
Sijalala kabisa nangoja mzigo..Umeamkaje
Hahahahaha...Rafiki jioni nakuwekea mzigo wako..mambo vipi lkn..ule mguu na kile kisigino nimeviota ujueSijalala kabisa nangoja mzigo..
Dah hapo kwenye kunifananisha na wahaya,umenikata stimu😇😇😇....Asante saana.
Huo mguuu WA kihaya mtamu saaana.
Kwakweli designer Kazi ameijulia.
I wish that golden opportunity for being a designer could have been mine
😂😂😂Umeota unapaka asali?Hahahahaha...Rafiki jioni nakuwekea mzigo wako..mambo vipi lkn..ule mguu na kile kisigino nimeviota ujue
Hahahahaha...hatari sana hizi ndoto hizi aaargh😂😂😂Umeota unapaka asali?
🤣🤣🤣🤣Haukuwa ndoto hiyo hayo yalikuwa mawazo tuHahahahaha...hatari sana hizi ndoto hizi aaargh
Hahahahaha...we acha nimejikutq nime save kisigino🤣🤣🤣🤣Haukuwa ndoto hiyo hayo yalikuwa mawazo tu
🤣🤣Ha haaaa haaaa umetisha sanaHahahahaha...we acha nimejikutq nime save kisigino
Hahahahaha...sio najitesa mwenyewe?🤣🤣Ha haaaa haaaa umetisha sana
Waooh😌😌mambo napendaga!Ngoja niangalie weekend nikutafutie legend😁Legend unataka massage ya mikono yangu? Nitakufanyia jambo hadi ushangae!!
Unitafutie au unitafute, mbona unachaganya lugha legend...na hivi una kilo zako 75+ naamini yamo ya kutosha⛷️⛷️Waooh😌😌mambo napendaga!Ngoja niangalie weekend nikutafutie legend😁