Kawaida yangu.Umejibu kwa upole kama si wewe
Kumbe?Utadhani mtu vilee
Naomba nikusaidie wakati wa kuvuna mpendwaKaribuni tulime.View attachment 1280467
mbio zote mzee ulikuwa unawahi kudeal na senene?
[emoji23][emoji23]Simanz itatawala[emoji87][emoji87][emoji87] likipasuka sijui itakuwaje?
Kimbisimbisi umewatoa wapi
Nasubiria kuona huo mchuzi utakua Vipi [emoji7]
Kimbisimbisi umewatoa wapi
[emoji109][emoji109][emoji109]with that beast no fear
Yupo singo [emoji16]
Mkuu uko wapi? Nije
Nitake radhi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nawajua wote siku hizi.
Tukiongozwa na baba yetu klop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibarua cha mkoloni dear
Hawatengenezewi mchuzi hawa, man.