Nipo shwari kabisa kaka,
Asante kwa kujali.
Sawa love Soon ntakuletea wakutosha ule hadi usazeNawapenda sana sweetheart...
Watamuuzia mlendaUrojo ,Dodoma ?
Hahahahaha..Watamuuzia mlenda
Nani huyo Rafiki kipenzi...naenda kule kukusumbua kdgIla huu Uzi Kuna mtu anaongea pumbaa ππππ€π€π€au basi!
Nilienda jana saa 3 nikakuta umeisha nikamkuta mteja anakunywa unavutiaa, nitaenda tena nitawapa feedbackWatamuuzia mlenda
Feedback na pichaNilienda jana saa 3 nikakuta umeisha nikamkuta mteja anakunywa unavutiaa, nitaenda tena nitawapa feedback
Feedback na picha
NakuaminiaUsijali
π π π Acha tu rafiki ,Bora tukasumbuaneNani huyo Rafiki kipenzi...naenda kule kukusumbua kdg
Hahahahaha..hilo ndilo lilobakiπ π π Acha tu rafiki ,Bora tukasumbuane
Mpunguzie posho ataachaπNimemwambia apunguze kula huyo, maana anakula kama mchwa π