Angefanya kujiongeza Kwa kupata Leseni za CAF ingesaidia sana.Kabisa mkuu tuna imani na Mgunda, sema nasikia hatambuliki na CAF hana Leseni kwahiyo tukienda kimataifa, lazima tutafute Kocha mwingine wa kimataifa ambaye obviously ndio atakuwa mkuu
Yeah hata mimi huwa nawaza kwanini asijiendeleze au hajui kama wanasimba tunamkubali, yeye ndiye anaijua simba na anajua mchezaji yupi anafaa kwenye mechi ipi na nafasi ipi, labda itokee tu siku hiyo mchezaji awe vibaya mechi imkatae ila yeye kwa upande wake anajitahidi sanaAngefanya kujiongeza Kwa kupata Leseni za CAF ingesaidia sana.
Naelewa sana mbinu zake, useme changamoto tuliyonayo mtu akishapata ajira huwa hana wazo la kujiendeleza
Mtu wa maana kabisaCalling it a day .
Wale wa Masjid tujiandae tukaswali!
Hahahahaha...Rafiki za jioni na pole na kaziSawa kabisa.....Leo niandalie like yangu
Kwani hana leseni ya Caf ? Mpk anakua pale ujue ana leseni ya Caf ..Mgunda ni moja wa makocha waliofanya refresh course ya caf ..ni wakati sasa viongozi wa Simba kumuaminiYeah hata mimi huwa nawaza kwanini asijiendeleze au hajui kama wanasimba tunamkubali, yeye ndiye anaijua simba na anajua mchezaji yupi anafaa kwenye mechi ipi na nafasi ipi, labda itokee tu siku hiyo mchezaji awe vibaya mechi imkatae ila yeye kwa upande wake anajitahidi sana
Alishafanya refresh course..simba wamuamini wampe timuAngefanya kujiongeza Kwa kupata Leseni za CAF ingesaidia sana.
Naelewa sana mbinu zake, useme changamoto tuliyonayo mtu akishapata ajira huwa hana wazo la kujiendeleza
Mbn alishafanya refresh course ya caf..na akaongozq timu mechi mbili za mtoano za cafcl..dhidi ya bata bullets na na athetico ya angola ?Kabisa mkuu tuna imani na Mgunda, sema nasikia hatambuliki na CAF hana Leseni kwahiyo tukienda kimataifa, lazima tutafute Kocha mwingine wa kimataifa ambaye obviously ndio atakuwa mkuu
Hata wachambuzi redioni leo wameliongelea hili. Ameshachukua hiyo kozi na kufaulu; na anatambulika na CAF na mashirika mengine ya michezo kimataifa. Boli lazima litembee aisee!Mbn alishafanya refresh course ya caf..na akaongozq timu mechi mbili za mtoano za cafcl..dhidi ya bata bullets na na athetico ya angola ?
Oohh kumbe basi niliona huko mitandaoni wanasema eti hana leseni, kama ni hivyo hizi ni habari njema kwetu, kwanini sasa viongozi wanahangaika na makocha wa kimataifa wakati mgunda ana hivyo vigezoMbn alishafanya refresh course ya caf..na akaongozq timu mechi mbili za mtoano za cafcl..dhidi ya bata bullets na na athetico ya angola ?
Hahahahaha..ujue nyie mashabiki wa mpira huwa mnavuruga mambo ..leo unamuona mgunda kocha mzuri ni vile anasimamia mechi ambazo hazina presha sana...ila wkt ukifika mtamuona hana vigezo na hafai , kwani ni mara ya kwanza mashabiki mnasema hivi ? Mgunda ndio aliyeivusha simba kwenda makundi lkn baada ya hapo mkaja kusema kuwa mgunda hana uwezo wa kuipeleka simba robo wala nusu fainali ya cafcl..akaletwa robertinho ...kisha akaletwa benchina ... baada ya wote hao kufeli karudishwa mgunda..mnaibuka tena kusema anafaa...aaagh...naona kama hamjitambui vileOohh kumbe basi niliona huko mitandaoni wanasema eti hana leseni, kama ni hivyo hizi ni habari njema kwetu, kwanini sasa viongozi wanahangaika na makocha wa kimataifa wakati mgunda ana hivyo vigezo
Hahahahaha..unajua watanzania wengi ni wajinga wajinga...achilia mbali umbumbumbu wao .... Mgunda alishakua simba na akawavusha kutoka mechi za kufuzu hadi kwenda makundi...hao hao wakaja na maneno kuwa hana uwezo wa kuwa kocha wa kuivusha simba kucheza nusu fainali [ malengo yao yalikuwa haya ] akaletwa Robertinho akasifiwq sana kuwa kawafunga yanga mechi Tatu akiwa na vipers..naye akaondolewa akaletwa kocha wa makombe Benchika [ kawafunga yanga cafccl fainali na aly ahly super cup ] kachemka leo wanarudi na maneno yale yale...kweli ? Aargh watanzania punguzeni ujinga ujinga huuHata wachambuzi redioni leo wameliongelea hili. Ameshachukua hiyo kozi na kufaulu; na anatambulika na CAF na mashirika mengine ya michezo kimataifa. Boli lazima litembee aisee!
View attachment 2986784
Hahaha mkuu kwa mtu kama wewe unayejua mpira sidhani kama hilo ni jambo la kukushangaza, hata huko ulaya makocha wakubwa kama kina Klopp na Guardiola kuna wakati huonekana hawafai na kuna wakati kuonekana wanafaa, mashabiki wanaweza kuongea lolote tu hiyo ni kawaida lakini kikubwa ni kuangalia hali halisi na changamoto ambazo timu inakabiliana na nazo kwa wakati huo hilo ndio la muhimuHahahahaha..ujue nyie mashabiki wa mpira huwa mnavuruga mambo ..leo unamuona mgunda kocha mzuri ni vile anasimamia mechi ambazo hazina presha sana...ila wkt ukifika mtamuona hana vigezo na hafai , kwani ni mara ya kwanza mashabiki mnasema hivi ? Mgunda ndio aliyeivusha simba kwenda makundi lkn baada ya hapo mkaja kusema kuwa mgunda hana uwezo wa kuipeleka simba robo wala nusu fainali ya cafcl..akaletwa robertinho ...kisha akaletwa benchina ... baada ya wote hao kufeli karudishwa mgunda..mnaibuka tena kusema anafaa...aaagh...naona kama hamjitambui vile
Asante mywangu....siku ilikuwa busy sana ndio najongea nyumbani kupika ubwabwaHahahahaha...Rafiki za jioni na pole na kazi
Hahahahaha..pole sana aisee...unaenda kupika wali au ubwabwa ama biriani ,RafikiAsante mywangu....siku ilikuwa busy sana ndio najongea nyumbani kupika ubwabwa
Mapema leo 😋
Hahahahaha...umepitwa ujueLiko wapi?umelifuta?
Mapema leo 😋