Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kua na moyo ccy ukienda kufungua baloo mwenyewe eeeh unakohoa eeeeeeh kuna harufu fulani hivi plus vumbi
Naelewa vizuriiii sema ukifungua ukachambua na kuchangia mwenyewe ndio vizuri unachukua vitu vyaukweli kuliko kubeba tu baloo Zima bila kuchambua unaeza kutana na maronyaronya tupu ukabaki nhiiiiiiiiiiiii 🤠!
 
Mwili mzuri kabisa huo unasema unataka kukonda?
Na mimi mwenye kg 100 nisemaje😎
Yani ana Mwili mzuri hata akinenepa ananoga balaaa!!
Mie nashukuru juzi nilipima kilo saivi nafuu hakyanani sio kwa Mwili ule nikitembea hatua mbili nilikua nahema kama nimepanda milima🙌!
 
IMG_6161.jpeg
Cc Mzigua90
 
Naelewa vizuriiii sema ukifungua ukachambua na kuchangia mwenyewe ndio vizuri unachukua vitu vyaukweli kuliko kubeba tu baloo Zima bila kuchambua unaeza kutana na maronyaronya tupu ukabaki nhiiiiiiiiiiiii 🤠!
Kabisa ccy maronyaronya eeeh ni kilio ccy
 
Back
Top Bottom