Selfika na JF: Snap it. Show it

Sikuamini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wallah🀣.
Na mvua hizi nani anataka kunuka ubongo maana kila siku nywele zitakuwa zinanyeshewa na mvua tu🀣🀣🀣. Mambo ya kusuka 40k halafu halafu after two days unafumua na hizi mvua wala sitaki sina pesa za mchezo🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…