PUFF DADDY
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 391
- 808
kanifundishaa shaangaaziiHuu uandishi ulijifunza wapi?
kanifundishaa shaangaaziiHuu uandishi ulijifunza wapi?
Chakula cha kawaida tu! Ila mwili ukija ngumu kuzuiaEphen unakula Nini jamani?
Natamani kuja PM kusema "hi"ila kla nikiwaza moyo unaenda kasi na mikono inatetemeka sanaGood morning madam
Good Morning Selfika🥂
View attachment 2984222
Huyu atakuwa mwenyeji ila ameamua kuja na aina hiyo ya uandishi ili kutuzugaHuu uandishi ulijifunza wapi?
Moyo unaenda kasi! Mikono inatetemeka kwa sababu gani?Natamani kuja PM kusema "hi"ila kla nikiwaza moyo unaenda kasi na mikono inatetemeka sana
🤣🤣Uunaa viiisaaakanifundishaa shaangaazii
Huyu ni zaidi ya mwenyeji Babu,huyu ni mjukuu mtukutuku tu😁😁...Huyu atakuwa mwenyeji ila ameamua kuja na aina hiyo ya uandishi ili kutuzuga
Na ukiwa Mwanaume mkware unajikuta unaimbisha mchuchu mara mbili mbili 😜🙌🏃🏃🏃🏃
Mzee wantakia ninii weyee?Huyu atakuwa mwenyeji ila ameamua kuja na aina hiyo ya uandishi ili kutuzuga
Na ukiwa Mwanaume mkware unajikuta unaimbisha mchuchu mara mbili mbili 😜🙌🏃🏃🏃🏃
naona mwannanga sasaaHuyu ni zaidi ya mwenyeji Babu,huyu ni mjukuu mtukutuku tu😁😁...
Ila kweli,ila jaribu kuskip some meals unaonekana bado mdogo kabisa weyee au lah tukurudishe makutupora ukapige kwataChakula cha kawaida tu! Ila mwili ukija ngumu kuzuia
Nilitaka nijitose kumtuma njiwa anipelekee salamu lakini moyo umesita 😜🏃🏃🏃Huyu ni zaidi ya mwenyeji Babu,huyu ni mjukuu mtukutuku tu😁😁...
Babu usijaribu nakuonya🤣🤣Nilitaka nijitose kumtuma njiwa anipelekee salamu lakini moyo umesita 😜🏃🏃🏃
kwanini mwannanga miee🤣🤣Uunaa viiisaaa
Napenda kula kiukweli! Asubuhi nimekula maziwa na viazi vitamu hapa njaa inauma nataka nipike viazi vitamu vilivyochanganywa na kunde plus tui la naziIla kweli,ila jaribu kuskip some meals unaonekana bado mdogo kabisa weyee au lah tukurudishe makutupora ukapige kwata
Wee mgeeenii jaaauu sannaanaona mwannanga sasaa
kwaniniiWee mgeeenii jaaauu sannaa
🤣🤣🤣 Yaani asubuhi ushakula,mie bado nazungukazunguka tu...Hizo kunde mbichi au kavu?nimehisi kitakuwa kitamuNapenda kula kiukweli! Asubuhi nimekula maziwa na viazi vitamu hapa njaa inauma nataka nipike viazi vitamu vilivyochanganywa na kunde plus tui la nazi
Sasa mbona unaandika kama mndengereko wakati we mzaramo?kwaninii
Kwa kweli 😅Babu usijaribu nakuonya🤣🤣