Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio raha ya watoto jamani!😁
Wafurahie kabla hawajaingia kwenye u-teenager wakapoteza interest na wewe.

Mi huwa nikisema sasa hivi nafanya kazi usumbufu unakuwepo kidogo tuhevery now and then.
Yaani nimewanunulia baiskeli/ipads Kila mmoja iwa-keep busy lakini haijasidia

Wao hutaka kuchukua wakati wangu Kwa kutaka kucheza tu πŸ™Œ

Huyo wako ni msikivu Kwa kuwa yuko mwenyewe, Mimi wangu ni timu ya Tennis halafu ni wakiume tupu

Kwahiyo wakianza Vurugu zao hadi unachoka aisee πŸ˜…
 
I love that!! It means they enjoy your company more than material things kwasababu unaitendea haki nafasi yako. Endelea kuwapambania!πŸ€—

Kuna muda huwa nacheka sana na excuses anazokuja nazo ili tu anisemeshe kidogo nikiwa busy.😁
 
Shukrani Mkuu, watoto ni fahari na baraka πŸ™

Hongera kwako pia, najua vile unapambana kwaajili yake. Ingekuwa tupo jeshini ningekupa nyota zako πŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…