Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimewahi kupita kwenye hayo mabanda ya CCM mara mbili hivi kupata yale mambo yetu

Sijui wanatumia viungo gani kuchanganya, maana inakuwa laini kufanya hadi Wazee tuweze kutafuna hadi mifupa [emoji847]
Babuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772][emoji2772][emoji2772]
 
Babuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772][emoji2772][emoji2772]
Hujambo Mjukuu?🤗

Kwa wiki mbili sasa Bibi yako amekuwa akikuulizia, fanya uje kumtembelea ukipata likizo na Mkwe wetu 🤗

Ulisema hujala magimbi una muda mrefu, nimeona amekuandalia mengi hadi ushindwe 😜
 
Muambie nashukuru nitakuja weekend. Unaendeleaje?

Mimi sijambo shkamoo babu 😸😸
We are doing real good here, japo nahisi Ulimi unaniwasha Kwa kumisi kuvuta Kiko yangu 🤗😜

Kama utakuja weekend hii nitamwambia Bibi yako akuandalie Wali wa Mchele mpya pamoja na yule Jogoo tuliyekupa zawadi Siku ya Kipaimara chako Mwaka ule 😅
 
Halla 💚💚
 

Attachments

  • IMG_20240429_180317_663.jpg
    2 MB · Views: 8
  • IMG_20240429_180520_767.jpg
    2.1 MB · Views: 9
  • IMG_20240429_180720_520.jpg
    2.6 MB · Views: 7
  • IMG_20240429_180455_421.jpg
    1.9 MB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…