Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Si kama siwezi kusema
Naweza mpaka kukesha
Naziepuka lawama
Nyingine zinakondesha๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐๐
Mamaaa Leila๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐ฅ๐ฅ๐ฅHata mkinitusi sitawajibu
Matusi kwangu ni dhambi
Mimi silipi ule ubaya muutakao๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐น๐บ๐ท๐ธ
Aunt juju; Khadija Yusuph hayupo?
Woyooo๐ฅ๐ฅ๐ฅNajua hii ndo dunia, dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia, aso hili ana lileeee
Lolote lile watakutafutia, ili upate upige kelele
Mie mdomo sitaufungua, ndo kawaida yangu milele
Hayupo naonaAunt juju; Khadija Yusuph hayupo?
Pambeee๐๐๐
Amependeza View attachment 2974948
Kwenye baya nalipa jema๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐๐Najua hii ndo dunia, dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia, aso hili ana lileeee
Lolote lile watakutafutia, ili upate upige kelele
Mie mdomo sitaufungua, ndo kawaida yangu milele
Yan hyu na jukwaa dam damPambeee
Anavyocheza sasa๐ฅ๐ฅ
Nifanye hamsini zangu; nisijikondeshe bureWoyooo๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Bora yakae rohoni
Wanasema mwanamke mashauziYan hyu na jukwaa dam dam
Asavali nilale. Maana angekuwepo; hakuna nyimbo yake ninayoipenda kama "Kazi ya Mungu Haingiliwi"Hayupo naona
Langu langu mm rohoniNifanye hamsini zangu; nisijikondeshe bure
Malipo ni kwa Manani kwa yote ya walimwengu, nisijitie kiwewe
Kamaliza mama matashtiti๐ถTena nashngaaa sana
Natenda wema
Nalipwa ubaya
Nimeguzwa mshumaa
Nawaka huku nateketea
Kweli Banian mbaya ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Wewe Anne huyu Leyla mbona Kila nguo anapendeza jamni ๐Kamaliza mama matashtiti
Dada yangu naye katoka kusema hivyohivyo๐๐Wewe Anne huyu Leyla mbona Kila nguo anapendeza jamni ๐