Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani angekuwepo kungenoga Sana
Mm nilijua Kutakuwa hamna sabbu ya mvua ila watu wa darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mishangazi imeogelea toka kinyerezi hadi upanga kupata Raha za pwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yule mama Sabaha Mimi huwa namkubali kuliko hawa wote,akifuatia na Mke wa Mzee Yusuf.
Kopa mbwembwe nyingi ila pumzi hana.
 
Na makeup zimetulia au walibeba wamepak huko huko sema hii watu wamependeza sana

Sababa Yuko vizuri live ni noma
 
🎢Sipendi kusema naogopa lawama
Walimwengu nawajua
Japo yanauma mambo ya wanadam
Bora kuwapotea

Walivoniandama japo roho yaniuma
Lakin ninatulia

Sikuzoea kusema kubishana na nawanadama
Sijutii na sitajutia 🎢
Saint Anne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…