Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,548
- 235,319
Arusha penyewe pamepangiliwa kitu gani Mkuu?Arusha ni nzuri zaidi ya Mbeya, sioni eneo lolote pale Mbeya ninaloweza linganisha na eneo lolote Arusha...
Mbeya imejengwa hovyo hovyo sana...
Siyo mbayaNi leo tu. [emoji16]
Jana nili-skip breakfast & lunch.
Hivi huo utulivu au upweke?🙄Hii Dom?
Mji umetulia sana huu kuishi...
Nazikosaje kwa mfano👌🔥Saint Anne
Umelala unakosa Raha za pwani
😂😂😂😂😂😂😂Hivi huo utulivu au upweke?🙄
Hizo hekaheka Mimi ndio nazitaka yaani,sijui nimezizoe!😂Pazuri kuishi
Dodoma kuzuri sana
Hakuna hekaheka kama za Dar.
Wee😂😂😂Hizo hekaheka Mimi ndio nazitaka yaani,sijui nimezizoe!😂
I miss you too cute..Ur missed dada
😂😂😂😂Uwe unakula,unakunywa na sodaWee😂😂😂
Kama kule Kariakoo yaani ni tabu
Zamani nilikuwa nikitoka hapo naumwa kichwa.
Baadaye nilizoea tu maana ofisi yangu ilikuwa huko😂😂😂😂Uwe unakula,unakunywa na soda
Dodoma kufanyaje bwana,kwani sisi wizara?😂Kuna shida ya daladala yaani zipo main roads tu
Nyumba expensive pia
Safiii sana....Upo zako Congo na Aggrey unakula mishkaki ya kitoroli weeeBaadaye nilizoea tu maana ofisi yangu ilikuwa huko
Muda wowote ni kelele
Hapo bado kupigana vikumbo pale gerezani kwenye mwendokasiSafiii sana....Upo zako Congo na Aggrey unakula mishkaki ya kitoroli weee
Dr Lizzy kama mzungu😂
Huyu nj mzungu aliyezaliwa Tz 😂Dr Lizzy kama mzungu😂
Mzungu mweusi👍Huyu nj mzungu aliyezaliwa Tz 😂