Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Dom Jiji la kinyamwezi sana[emoji134][emoji134][emoji134]Kule sijui ndio Mlezi sijui Nala[emoji16][emoji16]ila nyie mnaishije sehemu imepoa hivyo?hebu ona picha hamna hata Mtu...
This looks so yummy π€€π€€
Ila π· ni yako bana. I'll have a cup of π΅
Ataenda kukushtaki kwenye chama chenu Cha madaktariAtanitolea mfano kabisa π€£π€£π€£
SIPAPENDI tu,labda nije for the weekends tu sio kuishiDom Jiji la kinyamwezi sana
Hakuna kelele
Kumetulia
Kumejengwa kwa mpangilio sana
Huduma zote muhimu zipo
Na hakuna mafuriko.
Sindikizia Shallom na kaselfie mtumishi
Ndio mji mzuri kwa sasa TzHii Dom?
Mji umetulia sana huu kuishi...
Pazuri kuishiSIPAPENDI tu,labda nije for the weekends tu sio kuishi
Ndio mji mzuri kwa sasa Tz
HapanaHave you ever been to Arusha au Tanga au Moshi?
Dodoma ni pazuri kwa kuwa pamepangika na hakuna fujo kama za Dar, lakini kwangu mimi hiyo miji nimeiandika hapo juu, ni moja ya miji bora kwangu kuishi...
Ila nadhani Arusha na Mbeya hapajapishana sana
Kuna shida ya daladala yaani zipo main roads tuPazuri kuishi
Dodoma kuzuri sana
Hakuna hekaheka kama za Dar.
Ur missed dadaSIPAPENDI tu,labda nije for the weekends tu sio kuishi
Selfika basi πHave you ever been to Arusha au Tanga au Moshi?
Dodoma ni pazuri kwa kuwa pamepangika na hakuna fujo kama za Dar, lakini kwangu mimi hiyo miji nimeiandika hapo juu, ni moja ya miji bora kwangu kuishi...
Selfika basi π
ππππHalleluiiiiiiijah!
Utani gani Nkamu?π€£π€£π€£
Hebu acha utani basi....
Ndio shida na DodomaKuna shida ya daladala yaani zipo main roads tu
Nyumba expensive pia
Utani gani Nkamu?
Ndio shida na Dodoma
Daladala zao sijui wanawaza nini,
Ajabu hata kwenda tu Milembe hakuna daladala..sasa sijui wagoniwa wa akili tunawapeleka vipi hospital.
Hela za kurequest bolt natoa wapi?πππ
Unapanda Bolt au Bajaj...