Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,552
- 235,328
Dom kuzuriDar hamna laana,Laana Iko Dodoma,..Isanga gereza la kunyonga watu,Milembe hospital ya vichaa,Ukame....Dar changamoto ndogondogo tu wajameni😁
Mnakula wawili?😂
Huku Milembe nimepita juzi tuDar hamna laana,Laana Iko Dodoma,..Isanga gereza la kunyonga watu,Milembe hospital ya vichaa,Ukame....Dar changamoto ndogondogo tu wajameni😁
Ghetto kama langu hili Mkuu,
Ni ushirikiano wa late Lunch na dinner 😁Mnakula wawili?😂
Kweli umeimproveNi ushirikiano wa late Lunch na dinner 😁
Unashiba ?
Ni leo tu. 😁Ni bingwa au balimi?
Ndizo ninazozijua pekeyake na fanta.
Mpaka juu kabisa.Unashiba ?
This looks so yummy 🤤🤤Sweetlove...😍🥰😘 andaa ile wine yetu
Nakuja na dinner box ya Spicy Ramen...
Imagine!balaa!Huku Milembe nimepita juzi tu
Lile eneo ni kiboko,hata daladala halinaga.
Yaani nikiisafiri nikijikuta Nkuhungu napata mawazo hivi nikisikia Dar imeungua ghafla nitarudi wapi mimii🙆🙆🙆basi naingia kwenye maombi kuniombea Dar yangu😁Dom kuzuri
Kwanza hakunaga mvua kubwa sana
Sikujua kumbe Dom kuna gereza la kunyongea watu💔
Kweli Dsm watu wake walishazoea mateso
Tunaolialia ni sisi wa mikoani😂
Sema Dar ni kama ina sumaku aiseeYaani nilisafiri nikijikuta Nkuhungu napata mawazo hivi nikisikia Dar imeungua ghafla nitarudi wapi mimii🙆🙆🙆basi naingia kwenye maombi Dar yangu😁
Shallom shallom😂Sema Dar ni kama ina sumaku aisee
Kutoka Dar kwenda kuishi maporini ni balaa
Nilivyokuwa bush nilimiss sana Dar,pamoja na shida zote tunazopitia ila hatukomi kuja.
Shallom DSM.
Sindikizia Shallom na kaselfie mtumishiShallom shallom😂
😂😂😂 Yaani Lizzy we ndio Dr wa kwanza menu yako Haina mbogamboga...Yaani Janabi alikukuta na huo ubwabwa utasema
🙆🙆🙆Kule sijui ndio Mlezi sijui Nala😁😁ila nyie mnaishije sehemu imepoa hivyo?hebu ona picha hamna hata Mtu...Sindikizia Shallom na kaselfie mtumishi
Atanitolea mfano kabisa 🤣🤣🤣😂😂😂 Yaani Lizzy we ndio Dr wa kwanza menu yako Haina mbogamboga...Yaani Janabi alikukuta na huo ubwabwa utasema