Selfika na JF: Snap it. Show it

Hee
Kumbe tajiri hamumtaki?
Bil 20 yake itakuwaje sasa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Akiyanani mwamedi ameamini kweli masikini hawabebeki!πŸ™Œ
Haha iulize serikali, hatutaki matajiri wababaishaji, atuache tu na shida zetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miwanaume ya bongo minafikii balaaa,
Kutwaa kuranda kutafuta vidampaa, ila public inajifanya haitakiii.

Mingine utaisikia "wanawake wanaumiza hawana mapenzi ya kweli" ujue kuna kidampa anapigwa hapo akunjwe 7 muhuni apite hivii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu mnaniquote wote kwa pamoja hadi nachanganyikiwa

Ngoja nianze nilipoishia kwenye comment ya m23 coca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaambiwa mie ndo mlipuaji na nina ramani zote za kujua tunapiga wapi na kuishia wapiiii.
 
Salama lakini?
Wee modes kuniban ili nisitoe duku duku langu ndo nn? Mbona wengine walitoaaa? Ko mie siruhusiwiii kutoa yangu?

Nasemajeee, siku nikitibukaaa, nayamwagaa hapa yoteeee!!
Tena habarii nakupaa na ikufikieee, tena iweke kwenye jalada kabisaaa.

Habari ndo hiyoo, unataka ndo hivyoo, hutakii ndo hivyoo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…