Wee damu changa nguvu za kukimbia bado unazo sis saa bi kizeee hapa kukimbia naanziia wapi miπ€ π€ π! Fanya hivo utanouga hatariii na ulivo na mwili mzuri utauaaaaaaaππππ!!
Wee damu changa nguvu za kukimbia bado unazo sis saa bi kizeee hapa kukimbia naanziia wapi miπ€ π€ π! Fanya hivo utanouga hatariii na ulivo na mwili mzuri utauaaaaaaaππππ!!
Weeeee nyota nitoe wapi sis fanya manuva mafusho niondoe hii nuksi dadako au sijui nikaogee maji ya bahari??? Hio bahari sasa nahuku maporini Mungu wanguπ€π€π€ !
Weeeee nyota nitoe wapi sis fanya manuva mafusho niondoe hii nuksi dadako au sijui nikaogee maji ya bahari??? Hio bahari sasa nahuku mapirini Mungu wanguπ€π€π€ !
hujaona huko kuna uzi wa ndama..? sahivi tunaitwa ndama sie jinsia tofauti na nyie kisa tunanyonyaga maziwa yenu!,nikiangalia hapo umeweka mtindi mzuri mzuri ndo maana nauliza ndama wako hajambo...??π