Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Kabisa tena mirembe 😁Cheti chake kina lamination😂😂
Kabisa tena mirembe 😁Cheti chake kina lamination😂😂
🙆😂😂😂😂😂🙆🙆🙆UwiiiiiiiiiKabisa tena mirembe 😁
😂😂😂😂😂😂😂😂🙆😂😂😂😂😂🙆🙆🙆Uwiiiiiiiii
Ccy majuzi kati nimelala gafla nasikia paaaaaah, yani sauti ni kama imelia nje tu hapo getini.😂😂😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😂😂😂!Ccy majuzi kati nimelala gafla nasikia paaaaaah, yani sauti ni kama imelia nje tu hapo getini.
Hapo nishachanganyikiwa najua ni majambazi yanatoka kuingia ndani hivo, hapo nikajiuliza p
esa sina hao majambazi waje kufuata nin.
Kumbe ni nyumba ya jirani ccy walitaka kuvamiwa mwenye nyumba kapiga shaba juu juu😂 �😂😂😂😂
Mtaa mzima ccy mi ndo sina gari😂😂😂😂😂😂.😁😁😁😂😂😂!
Ndo shida za kukaa uzunguni sis wanajua nawe ni tajiri!😊
Weee akili kubwa sis unapambana na pesa unazo big up
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtaa mzima ccy mi ndo sina gari😂😂😂😂😂😂.
Basi nikawa nawaza ccy hawa wanataka kuja kuiba ma hotpot yangu mapya nin😂😂😂😂
Kwa Mzee Saanane.View attachment 2960740
Rock City
Hapa ni jumping stoneView attachment 2960725
Rock City
Upo sahihi.Hapa ni jumping stone ety?
😊😊Upo sahihi.
Ndio Saanane Island National ParkKwa Mzee Saanane.