Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,101
- 136,758
Likewise. Eid Mubarak to you and yours!Hakuna Anko JuJu..
Eid Mubarak
Basi raha sana. Huku kwingine ni marufuku kuwa na chupa au kopo la pombe lililofunguliwa kwenye gari.
Na kama umelewa, ukiwa kwenye gari hata kama umepaki tu na huliendeshi, ni kosa kubwa sana.