Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,309
- 2,568
Nani ako karibu?
Sio kwa kunenepa huko sis umenougaa hatariii 😍😍😍😍😍😍!
Asante ccy 🥰🥰🥰🥰🥰Sio kwa kunenepa huko sis umenougaa hatariii 😍😍😍😍😍😍!
Pendeza sana sis!
Hiyo guest naijua
Wangu wa pekee nataka nikupende mpka moderate waone wivu
Sikutaki tena maan ulifumaniwa pasiansi 😂😂😂😂😂😂😂😂Wangu wa pekee nataka nikupende mpka moderate waone wivu
Sheeendwaaaaaa ili nigundue nini mie!Hiyo guest naijua
😂😂😂😂Hiyo guest naijua
😂😂😂😂Sheeendwaaaaaa ili nigundue nini mie!
😂😂😂😂
Sis mwambie mumeo Huyo chizi Carrasco achati na picha apunguze porojoCarasco Putin Kwa hiyo ww guest house zote unazijua ety?
Honeeeeeyyyyyyy em tu bless mi na ccy tuone alichokupa mama mkwe.Sis mwambie mumeo Huyo chizi Carrasco achati na picha apunguze porojo
Mim pia ashawai nambia ety hiyo guest house naijua hiyo😂😂😂😂Carrasco ni mwehu sis 🤠
Alooooooohh Nimeipenda hio honeyyyyyyyyy safi sana mambo nampa hiooo kazi kwake tu chizi huyo 😁!Honeeeeeyyyyyyy em tu bless mi na ccy tuone alichokupa mama mkwe.
Wengi tu huwa anawaambia hivo huyo akili zake anazijua mwenyeweMim pia ashawai nambia ety hiyo guest house naijua hiyo😂😂😂😂
Cheti chake kina lamination😂😂Wengi tu huwa anawaambia hivo huyo akili zake anazijua mwenyewe
Huyu mchumba mwenyewe ana wachumba wengi kweli kweli.Alooooooohh Nimeipenda hio honeyyyyyyyyy safi sana mambo nampa hiooo kazi kwake tu chizi huyo 😁!