Hahaha......unakuta ghafla kafriji kameota 🙌
Kwa upande wa Mwanamke, unaweza kuwa na flat tummy kabla hujaolewa na kuzaa, ukishaolewa na kuzaa plus zile outings za kupelekwa kula Burger na Pizzas utajikuta automatic unaanza kunenepa 🤗
Ni Wanawake wachache sana walioolewa na wanatunzwa vyema na Waume zao na bado wakaendelea kuwa na flat tummy 🤗